Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 3 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI HIZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE WASTANI
#MASTER KUBWA
#JIKO KUBWA OPERN KITCHEN
#CHOO CHA WAGENI NJE
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA MAZINGIRA MAZURI SANA
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA PAMOJA NA PESA YA DALALI YA MWEZI MMOJA
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 5 TU KUTOKA MWENDOKASI
ANATAKIWA MSELA WA KIKE TU‼️
SERVICE CHARGE TSH 15,000
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258