Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIO APO
#CHUMBA
#SEBLE
#CHOO
#JIKO
#NA TAIRIZ , JIPSAM MADIRISHA YA KIOOO SEBLE KUBWA UMEME NA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAZINGIRA NI MAZURI
#HAINA FENSI .
#KODI LAKI 250000 MIEZI 6
#SERVES CHAJI 20,000 .
NYUMBA IPO #KIMARA_KOROGWE_KILUNGULE BODABODA 1000 BAJAJI 500 UKISHUKA DAKIKA 6.
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















