Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA INA PANGISHWA
KODI 100,000X5x6
LOCATION: KIMARA MWISHO::
UMBALI KM 1
USAFIRI
BAJAJI 1000
BODA 1000
CHUMBA NA SEBULE JIKO NA CHOO CHAKE CHA PEMBENI
UMEME SUB METER YAKO
MAJI YAPO NA TANK LAKO LITA 100
NYUMBA IPO UPANDE WA KUSHOTO KM UNAENDA MJINI
MAFUNDI WAPOWANALUDIWA RANG
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637