Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(300,000X6)KIMARA KOROGWE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NI NYUMBA NZURI INAPANGISHWA
IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
HII NYUMBA UKIJA KUIONA NA UKIIPENDA MAZUNGUMZO YA BEI YAPO
💥NB:GARI HAIFIKI MAPAKA KWENYE NYUMBA..NYUMBA IPO PAZURI...HAKUNA PARKING HAPA
SIFA ZAKE
#######
INA VYUMBA VINNE 4 VIWILI NI MASTER BEDROOM SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI
INAJITEGEMEA YENYEWE APO ILIPO AINA UZIO NA GARI AIFIKI NYUMBAN VIZURI
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
UMBALI KM 1,5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI NI PKPK TU ELFU MOJA MPKA NYUMBAN
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
MAWASILIANO
0716223412
0683597453