Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 07/06/2024
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#AIRCONDITION
#GARDEN
#PARKING
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU KABISA GOROFANI
BEI NI 450,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 07/06/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NA MALIPO YANAPOKELEWA
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0785889413
#0785889413