Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#KODI 250K MALIPO MIEZI X6
LOCATION #KIMARA_KOROGWE 👉KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM2
#USAFIRI UPO MASAA 24 BAJAJI SH.500 UKISHUKA DK 4
SIFA ZA NYUMBA 👇
#CHUMBA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO INJE LA KWAKO MWENYEWE
UMEME MITA YAKO
MAJI YANA TIRIRIKA NDANI
PARKING SPACE KUBWA
NYUMBA IKO KWENYE FENCI
KODI 250,000 MALIPO MIEZI X6
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA SH.20000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA🤝
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















