Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


500,000 miezi 6 kamili
LA KIFALME HII HAIJAWAHI TOKEA๐๐ฟ
Pesa ya dalali laki 5
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA
STOP OVER
7 DAKIKA TU
===
Vyumba 3 vyakulala na vyote master bedroom
Public toilet ndani
Jokofu
Nyumba ina Mariko matatu
Mawili yapo ndani na makabati
Moja la nje
Sebule kubwa mnooooo
Njoo ujionee
==
Kodi 500,000 Kwa mwezi ร 6 bila punguzo
===
Umbali wa dakika 7 tu kwa mguu kutoka lami
===
Ndani ya fence parking kubwa yakutosha, kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Pia nyumba ina tank 3 za 5000litres
๐๐Nyumba hii ni nzuuri sanaa, ina A/C yake kabisa
Ulinzi upo , pia mlinzi analipwa na mwenyenyumba
===
โผ๏ธ๐๐ปNyumba inamaliziwa kupigwa rangii
Kupelekwa kuona nyumba elfu 20 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
======
CALL
0683234124