Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA ZIPO 2 TU NDANI YA FENCE KODI 250,000X6 
LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 700
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
SIFA ZAKE 
___________
#VYIUMBA 3 KIMOJA MASTER KUBWA SANAA 
#SITING ROOM KUBWA 
#DAINING TABLE 
#JIKO KUBWA SANA 
#PABLICK TOILET NDANI 
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 
#UMEME LUKU 
#NDANI YA FENSI YA WAYA PAKING SPACE KUBWA
0715949085
0782838336



















