Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(500,000 × 6) KIMARA KOROGWE MWENDOKASI
HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPOUND MOJA KATI IZO MOJA INAFAULISHWA #KODI 500,000 × 6
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#PAVING BLOCKS BUSTANI SAFI MZINGIRA MAZURI SANA PARKING YA KUTOSHA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300