Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA KOROGWE KM1.5 KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
----------
Contact
0719969102
0714903124