Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NI APARTMENT 2 TU KWENYE FENCE NA MOJA IMELIPIWA IMEBAKIA MOJA
WALE WENYE MAGARI YA CHIN SANA NJOON MAPEMA
IPO KARIBU KABISA NA BRBR YA LAMI INAYOTOKA KIMARA KOROGWE KUELEKEA KUWA MKUA
KODI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA SEBULE KUBWA SANA JIKO ZURI KUBWA SANA OPEN KITCHEN NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW
NDANI
NYUMBA NI NZURI SANA IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI UMBALI KM 1,5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0712656027