Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA NZR ZINAUZWA ZIPO 2 ZOTE BEI MILIONI 45 MAZUNGUMZO YAPO KIDGO MWENYEWE ANASHIDA YA HARAKA BEI KITONGA HYO
LOCATION KIMARA MWISHO KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 700 BODA 1000
NYUMBA INADOCOUMENT HALALI ZA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI ZA MTAA
KIWANJA KINAUKUBWA WA SQUARE 400
NYUMBA KUBWA INA VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER SITING ROOM KUBWA & DAINING TABLE JIKO PABLICK TOILET KODI 350,000 ZINAWAPANGAJI
NDOGO INA CHUMBA MASTER SEBULE JIKO KODI 120,000 MPANGAJI ANALIPA
NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
NYUMBA INAUZWA BEI SAWA NA BUREEE WAI NDUGU MTEJA OFFA OFFA
0746 433 854