Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







WAHI CHAPU CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO
INA PANGISHWA
LOCATION: KIMARA STOP OVER
KODI 160,000X6
MAJI UNATUMIA BULE
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANA FLOW NDANI
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 1.5
USAFILI BODA BODA 1000
AU UKIPITIA KIMARA BAJAJI 500
NYUMBA HAIPO NDANI YA FENS ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA NA GARI INAFIKA HADI MLANGONI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU USICOMENT UTACHELEWA KUJIBIWA
What saapp number 0689-547258