Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYA MPYA MPYA KABISA ZINAPANGISHWA KIMARA BARUTI
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI DK 2 KUTEMBEA KWA MIGUU
SOMA MAELEZO KWA UMAKINI
( A ) VYUMBA VIWILLI VYA KULALA SEBULE JIKO OPEN KITCHEN NA PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI
HAKUNA MASTER
KODI NI TZS 400K X6
( B ) CHUMBA MASTER KUBWA SANA SEEBULE KUBWA MNO YA KUJIACHIA JIKO KUBWA LA KISASA LINA FUNGWA MAKABATI >OPEN KITCHEN NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE
KODI NI TZS 350K X6
TYRIES JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
ZIKO APARTMENTS TATU TU KWENYE COMPOUND MOJA NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU ๐UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
NB:
ITAKUWA TAYARI KUHAMIA TAREHE 10.07.2027
KUJA KUONA NA KULIPIABNI NI RUKSA
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZ'S 15K
CONT ๐