Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


WAHI MAPEMA HII SI YA KUKOSA KODI 130,000X6
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA BARAZA KUBWA LIMEZIBWA KOTE YAANI JIKO
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA TANK LAKE JUU
IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
IPO NDANI YA FENSI FULL PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 2.5
USAFILI BAJAJI NA BODABODA
KODI 130,000X6
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
Dalali kimara suka Leonard
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja