Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA inapangishwa ipo kimara korogwe usafiri bajaji
ina CHUMBA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI
inajitegemea umeme na maji dawasa yana flow ndani
💰kodi 300,000 kwa mwezi mmoja malipo ni miez 6
ipo ndani ya fensi paking ipo
kuona nyumba elfu 20000 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
ukipenda nyumba utalipa mwezi mmoja kwa dalali pindi unapolipia nyumba
#0625606710