Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(130,000X6) KIMARA MWISHO
——
MASTER BEDROOM KUBWA INAPANGISHWA KIMARA MWISHO #120k
Chumba kikubwa cha kulala Choo ndani
Kodi 130,000 Kwa mwezi × 6
Ndani ya fence parking kubwa, umeme wawili maji yanaflow chooni
Umbali KM 1.5 Usafiri bajaji zipo,
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
Contact us:-
0716223412
0618976024