Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 2
KUTOKA MOROGORO ROAD KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI ZIPO KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG ELF 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii ni chumba sebule
Choo kipo pembeni cha kushea wawilli 2 tuu
Nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri
Madilisha anaweka kioo yutee
KODI YA PANGO
_________________
kwa mwezi ni laki moja tuu/=
(100,000)
X 4
CALL
CALL 0659244543