Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGISHA KIMARA MWISHO CHUMBA SEBLEE CHOO NDANI NA JIKO YAKE KODI LAKI MBILI (200,000)KWA MWEZI NDANI YA FENSI
..........
Seblee kubwa
Chumba
Public toilet
Jiko kubwa
Full tiles
Gypsum board
Aluminiuam window
Luku yake
Maji Dawasco yapo yanaflow ndani
Metar ya maji ya kwako
Parking kubwa
Nyumba nzuri ya kisasa
Mazingila safi
..........
Kodi 200 X 5,6
Kupelekwa site ni Elfu 15
.........
Ipo umbali wa 2 kilometers to main road usafili upo mwingi wakati wote ukishuka kwny bajaji unaingia ndani kwako
...........
KITEMO DALALI KIMARA GOBA
Contact
Sms call WATSUP
0719745506
0786927595