Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#OFA OFA OFA IMESHUKA BEI SANAA KUTOKA 180X6 HADI 150X6 WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU
APARTMENT MPYAA KABISA HII UNAZINDUA MWENYEWE
KODI 150,000X6
LOCATION: KIMARA MWISHO
UMBALI KM 2.5
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI
IPO NDANI YA FENSI ILA HAILAZI GARI
USAFILI BODA 1000
BAJAJI 700
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CONTACT
0742260844
0657384670