Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HIZI APARTMENT ZIPO 3 KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/01/2025 KUONA KAMA ATAKUWEPO RUKSA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA
#CHOO CHA NDANI
#JIKO KUBWA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA AU 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 12
##0655256419
##0760830706