Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI KUBWA INA PANGISHWA
LOCATION: KIMARA SUKA
KODI 120,000X4
NDUGU MTEJA HINYUMBA NIZULISANA ILAKUNA UMBALI KM 3.5
NI CHUMBA MASTER NA SEBULE KUBWA SANA NAJIKO SAFISANA
MAJI YANA FLOW NDANI
UMEME LUKU YAKO
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
MAZINGIRA MAZURI SANA
BAJAJI 1000
BODA 15
UKISHUKA DAKIKA 4 UPO NDANI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637