Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI KUBWA INA PANGISHWA
LOCATION: KIMARA SUKA UMBALIWA DAKIKA 15 KWAMIGUU AU BODABODA 1000
KODI 180,000X4
NI CHUMBA, SEBULE KUBWA SANA, JIKO SAFI SANA NA CHOO CHA PUBLIC CHA NDANI
MAJIYAPO
UMEME LUKU YAKO
IPO NDANI YA FENSI ISIYOLAZA GALI
MAZINGIRA MAZURI SANA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
###0655256419