Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
Apartiment house for rent Mpya Kali nzuri
Location kimara suka golani km 3 usafiri bajaji na boda
Kodi 150000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba na sebule
Choo ndani
Jiko La nnje
Umeme luku yake
Maji dawasa ndan yanafloo
Parking space fency
Dalali ubungo mbezi kimara
078529912