Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NEW NEW APARTMENT FOR RENT##KIMARA MWISHO.
•••••••••••••••••••••••••••••••••••
NYUMBA MPYA NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
ZIPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO NJIA IENDAYO KIMARA BONYOKWA.
HIZI APARTMENT ZIPO ATUA YA MWISHO KUMALIZIKA RUKSA KUONA NA KULIPIA
ZIPO APARTMENT ZA AINA MBILI NA BEI TOFAUTI =
GHOROFA = KODI NI 500,000
ZA CHINI = KODI NI 400,000 /=
SIFA ZAKE =
VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
TAILS
GYPSUM
SLIDE WINDOW
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI.
••••••••••••••••••••
NOTE =
HIZI APARTMENT ZIPO 8 KWENYE COMPAUND MOJA NA ZINA NAFASI YA KUTOSHA HAZIJABANANA NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME PAMOJA NA MAJI
ZITAKUWA TAYARI KWA KUHAMIA TAREHE 01 /4 / 2024 RUKSA KUONA NA KULIPIA KWA MPANGAJI AMBAYE HANA HARAKA.
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MWEZI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
ZIPO APARTMENT ZA BEI TOFAUTI GHOROFA LAKI 500,000 NA ZA CHINI KODI NI LAKI 400,000 /=
••••••••••••••••••••
FINISHING YAKE = FULL PAVING BLOCK ZINAWE, MADIRISHA ALUMINUM, REZEV SIMTANK, PARKING SPACE KUBWA YA KUTOSHA.
#0785889413
#0785889413
#0754589413