Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
INAFAULISHWA HAPA NDUGU MADALALI WAHI SASA
NYUMBA INAPANGISHWA KIMARA SUKA
UMBALI WA KM 1 BODA 1000 AU UNAWEZ TEMBEA DK 15 KWA MIGUU
SIFA ZAKE NI KAMA HIZI HAPA WAHI
-SEBULE KUBWA
-CHUMBA MASTER
-JIKO NJE(PEMBENI)
-UMEME WAKO
-MAJI UNAJITEGEMEA
-PEVING BLOCKS
-FENSI PARKING KUBWA
-PUBLIC TOILET NJE
-NYUMBA MPYA YAN MPYAA
-WAPANGAJI WA TANO TUU SEHEM NZUR
BEI NI 200,000 ILIPWE MIEZI SITA HAPA
ANGALIZO:MTEJA ANA HAMA ILA KUNA ELA INARUDISHWAA SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37