Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI #250k
==
Vyumba 2 vya kulala sebule jiko na public toilet #hakuna master
====
Kodi 250,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali KM 1.5 Usafiri bajaji, upande wa kulia kama unaenda mbezi
==
Kila apartment inajitegemea umeme na maji
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
0655256419