Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTIMENT KALI INAPANGISHWA
IPO KIMARA TEMBONI
300,000/=X3
APARTIMENT HII IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 5 KWA MIGUU,
MUUNDO WAKE
===============
CHUMBA KIKUBWA SEBULE KUBWA
NA JIKO LIPO KWAPEMBENI
NA PABLICK TOILET
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO NDANI YA FENSI
KODI 300,000/=X 3
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
ITAKUA WAZI J, TATU
=====
KUONA NDANI KAMA TUTAMKUTA MPANGAJI
YAJUU NDIO ITAKUA WAZI
====
CONT
0683234124
0718367179