Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#APARTIMENT YA KISASA INAPANGISHWA(250K X 6)
------------------------------
๐KIMARA SUKA(Dsm) ๐น๐ฟ
Umbali: KWA MIGUU DK 6
_________________________
MUUNDO รท
โ๏ธ Chumba_ Kikubwa
โ๏ธSebule kubwa
โ๏ธJiko Kubwa Zuri
โ๏ธChoo Cha Public ndani
__________
HUDUMA รท
โ๏ธMaji (yapo Dawasa)MITA YAKO
โ๏ธ Reserve Tank Lako
โ๏ธLUKU YAKE
๐ MAZINGIRA TULIVU SANA & NDANI YA FENSI
โโโโโโโโโ
KODI; 250,000/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 06 + Mwezi 1 wa dalali
*Nb* *Pesa Ya Tahadhali Ya Mwezi Mmoja Unatolewa Pamoja na Kodi*
________________________
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20000 kwenda Kuona Nyumba
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347



















