Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI
-----
Chumba master
Seble
Kibara safi
Luku yako
Maji yana flow
Hakuna fence usalama wa kutosha
-----
Service charge 15,000/=
Kodi 150,000X3
------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 1.5
-------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big__kimara🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏