Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA INA VYUMBA VYA KULALA 2.
VYOTE NI MASTER NA INA PABLICK SEBLE JIKO UMEME NA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI YANAFLOW NDANI .
NDANI YA FENSI ZIKO 2 NYUMBA IKO KIMARA KOROGWE KILUNGULE USAFIRI BAJAJI UKISHUKA DAKIKA 5 BODABODA 1000.
KODI LAKI TATU NA NUSU KWA MWEZI 350000.
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087