Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
π―οΈ KIMARA KOROGWE
π 170,000/= *6
π Bei Imepoa sana Wahi
________
____
β’ Jiko lenye Kabati
β’ Chumba Master Kizuri
* Maji yanatoka Ndani
* Ndani ya Fensi
* Parking
* Umeme wawili tu
* Mazingira Tulivu na Mazuri
#Umbali wa dakika 3 tu kwa kutembea kutoka Mwendokasi
π Note;- Nyumba Mpya Kabisa inakuwa tayari kuhamia tarehe 25/ 07/2024, kuona na kulipia ruksa
π Saizi Inahitajika kodi ya mwaka baada ya hapo ndio utaanza kulipa sita sita
_________
π *MUHIMU*
#Malipo Ya Dalali Nasoni ni 170,000/=
#Kupelekwa kuona 15,000/=
β: 0753172516