Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KWA WALE AMBAO MNATAKA NYUMBA YA KARIBU NJONI HARAKA
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 7
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba NI chumba sebule master bedroom na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI 250,000X6
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347