Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(150000x6) KIMARA MWISHO CHUMBA MASTER JIKO
INAPANGISHWA
UMBALI WA KILOMETA (2) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFILI WA UHAKIKA BAJAJ
700/=
UKISHUKA UNATEMBEA DK (5)
INA TILES GPYSUM DILISHA LA ALUMUNIAMU NA JIKO LA KISASA
UMEME MITA INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI
NDANI YA FENSI
PAKING KUBWA SANA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
What saapp number ⬅️ 0689-547258