Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(100,000 × 6) KIMARA MWISHO
MASTER BEDROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*SOMA MAELEZO VIZURI HAPA ZIPO MASTER BEDROOM ZA AINA MBILI
ZIPO HIZI MPYA ZINAKUA WAZI MWISHO WA MWEZI NA ZINGINE MBILI AMBAZO ZIPO TAYARI
_____________________________
(A) MASTER BEDROOM, YANI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI, KUBWA SANA, LUKU YA KUSHEA WA 3
HIZI ZIPO TAYARI UNALIPA NA KUINGIA
*NYUMBA IKO NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE HAKUNA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2.5, BAJAJI, NOAH700/=
*KODI 100,000/= KWA MWEZI × 6
______________________________
(B) MASTER BEDROOM, YANI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI
NB:HIZI NYUMBA NI MPYA, ZITAKUWA TAYARI KUINGIA TAREHE 1/8/2024. KUONA NA KULIPA RUKSA
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA NI SHILINGI 15,000/=
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300
______________________________