Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#LOCATION KIMARA KOROGWE KWA MKUA KUTOKA MWENDOKASI NI KM 1.5 BAJAJI 500 BODA 1000
NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA ZINAKUWA TAYARI TAREHE 20/4/2025TUNAPOKEA PESA
SIFA ZAKE
(A)
#CHUMBA MASTER KUBWA SANA NA SEBULE KUBWA SANA HAKUNA JIKO
#CHOO CHA WAGENI NNJE KODI NI 180,000X6
#LUKU NA MITER YA MAJI MNASHEA 2
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA FENSI INAJENGWA ILA HAIINGIZI GARI
KUONA NYUMBA EFU 15
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258