Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


MPYAA MPYAA KABISA
ZINAPANGISHWA
ZIPO KIMARA TEMBONI
KM 3 USAFILI BAJAJI. 1000/
UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
======
SOMA KWA MAKINI NDUGU MTEJA
A))
CHUMBA MASTAR KUBWA SANA SANA
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI NDANI
KODI. 130,000/=X5
MKATABA UKIISHA UTAMLIPA MIEZI MITATU 3//
====
B))
SEBULE KUBWA SANA CHUMBA KIKUBWA NA CHOO NDANI CHA PABLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
====
KODI. 150,000/=X5
BAADA YA HAPO UTALIPA MIEZI MITATU MITATU 3
KUONA NYUMBA 15000/=
MALIPO KWA DALALI HELA YA MWEZI MOJA. (1)
======
MAFUNDI WAPO HATUA ZA MWISHO KUMILISHA NJOO CHAP UCHAGUE ZIPO NNE TUU
LUKSA KULIPIA
MKATABA UTAANZA KUSOMA TAREHE
1/12/2024
==========
SIMU
0712656027