Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿APARTMENT #INAPANGISHWA
📍LOCATION kimara Bucha
⏰Dakika 5 - 6 kutoka standi ya mwendo kasi
🏠SIFAZAKE
🌲Vyumba viwili, kimoja master
🌲Sebule
🌲Jiko zuri
🌲Public Toilet
🌲Umeme Luku Yake, Maji yanaflow ndani
🌲Fenced Car Parking
🌲Full Security 24/7, Pazuri Sana Hapa.
👉 Ya juu inapaangishwa ipo wazi
🔶Kodi Tsh 400,000/=x6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali roonyTsh 400,000/=
🔶Service charge Tsh 15,000/-
#Piga_simu
☎ 0627977383
Karibu Sana Ndg Mteja🧐👍