Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 300,000

APARTMENT MPYA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA

💥 APARTMENT HIZI ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI

SEHEMU 'A'

#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#CHOO KIZURI CHA PUBLIC
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PAVING
#PARKING KUBWA

BEI NI 300,000/= X 6

SEHEMU 'B'

#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#PARKING KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA

BEI NI 200,000/= X 6

🏘️ APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 NA UKISHA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 3 UPO KWENYE NYUMBA

💥 KUONESHWA NYUMBA HII UTALIPIA PESA SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA YA UDALALI

0715949085
0782838336

Dalali Salim Kimara
dalali_salim_kimara_ubungo
Dalali Salim Kimara

Similar items by location

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT KALI SANA HIZI ZA KISASA KABISA ZINA PANGISHWA LOCATION: KIMARA TEMBONI UMBALI KM 3BODA 10...

Sh. 200,000

APPARTMENT NZURI KALI INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI KM 2 UKISHUKA KWENYE BAJAJI DK 1 UPO KWA NYUMBASIF...

Sh. 250,000

KWA WALE AMBAO MNATAKA KARIBU NJOONI HARAKA INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 7 KUTOKA STEND KI...

KWA WALE AMBAO MNATAKA KARIBU NJONI HARAKA INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 7 KUTOKA STEND KIM...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

MPYA MPYA MPYA KABISA NYUMBA NZURI YA KUPANGA 250K X6KODI LAKI MBILI NA NUSU MALIPO YA MIEZI SITA LO...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NI NYUMBA KUBWA SANA YA FAMILIA INAPANGISHWA .NI APARTMENT .KODI NI 600,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

KODI NI 150,000 x 4 KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 2 ) KWENYE COMPSUND...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT KALI SANA HIZI ZA KISASA KABISA ZINA PANGISHWA LOCATION: KIMARA TEMBONI UMBALI KM 3BODA 10...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APPARTMENT NZURI KALI INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI KM 2 UKISHUKA KWENYE BAJAJI DK 1 UPO KWA NYUMBASIF...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT KALI SANA HIZI ZA KISASA KABISA ZINA PANGISHWA LOCATION: KIMARA TEMBONI UMBALI KM 3BODA 10...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT KALI SANA HIZI ZA KISASA KABISA ZINA PANGISHWA LOCATION: KIMARA TEMBONI UMBALI KM 3BODA 10...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

KWA WALE AMBAO MNATAKA KARIBU NJOONI HARAKA INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 7 KUTOKA STEND KI...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 547,258

( 150,000 x 4 ) KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 2 ) KWENYE COMPSUND MOJ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 547,258

( 150,000 x 4 ) KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 2 ) KWENYE COMPSUND MOJ...

Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

Apartment ya Chumba master Sebule na Jiko (200,000) #KIMARA_TEMBONISIFA ZA NYUMBA:>CHUMBA KIKUBWA✔️>...