Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYAAAA VINA PANGISHWA KIMARA SUKA
KODI 50,000X6
NI VYUMBA SINGLE VIKALI SANA MPYAA KABISA
KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
VIPO NDANI YA FENSI ILA FENSI YAKE HAILAZI GARI
UMBALI KM 2.5
BAJAJI 700
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
MAJI YAPO
UMEME UPO
WAHI CHAPU
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747