Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(300,000X6) KIMARA TEMBONI DAKIKA TANO (5) KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
💥 APPOINTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#HAKUNA MASTER
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
❌❌ APARTMENT HII NAIFAULISHA ❌❌
BEI NI 300K X 6
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU NA INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453