Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI ZA KISASA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO DK4 KUTOKA LAMI  KWA MIGUU. INAKUWA WAZI TAR 30 .4.2024 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
CHUMBA KIKUBWA 
SEBLE KUBWA SANA 
JIKO LA KISASA LINA MAKABATI 
PUBLIC TOILET 
MAJI YANA FLOW.
LUKU YAKO
TILES 
GYPSUM 
GARDEN SAFI 
PAVING BLOCK 
PARKING SPACE KUBWA SANA 
SERVICE CHARGE 15,000/= Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali 
KODI 300,000/=×6
# Simu 0757 404087




















