Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MASTERS BEDROOM  YA KUPANGA KIMARA MWISHO(DSM TZ 
MASTER BEDROOM KUBWA SANA, YANI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW CHOONI 
ZIKO 3 KATIKA COMPAUND MOJA,
 UMEME LUKU YAKO
  MAJI DAWASCO MITER YAKO
 #HAKUNA PARKING SPACE 
NYUMBA IKO UMBALI WA KILOMITAR.2  KUTOKA STENDI MWENDOKASI KIMARA MWISHO
 USAFIRI UPO WA BAJAJI DALADALA TSZ 500/= , BODA BODA TSH 1000 /=
KODI NI TZS 100,000/= X"5"
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 
SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1 
What saapp number 0689-547258



















