Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 4
KUTOKA STEND STOP OVER
SIFA YA NYUMBA
Kuna chumba sebule master bedroom haina jiko
Kwa chini zipo 2 wazi
Inajitegemea umeme NA maji
Mazingira mazuri sana
Wale ambao hampendi mbari njoo na hela
‼️Jamani nasema hazina jiko
Kwa wasela zinafaa sana
KODI 200K MIEZI 6
SERVICE CHARGE 20K
What saapp number 0689-547258