Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT KUBWA NA NZURI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA 250,000/= X 6
๐ฅ APARTMENT HII INASIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#HAKUNA MASTER
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 250,000/= X 6
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 50 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
0655256419