Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM NA JIKO ZURI NDANI YA FENCE INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD SIFA YA NYUMBA NI
NYUMBA MPYA MPYA
Inapangishwa ya chini
Hapa umeme na maji unajitegemea
HAPA PANATAKIWA MSELA WA KIKE
KODI YA PANGO 150,000 X 3
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE 15,000/=
UKIPENDA NA KULIPA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZI MMOJA
What saapp number 0689-547258