Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 2
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ZIPO
NA BAJAJI ZIPO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA 
SIFA YA NYUMBA 
__________________
hii nyumba NI vyumba viwilli vya kulala haina master bedroom ina pabrck ya ndani 
Piya ina jiko pepeni 
Inajitegemea umeme NA maji 
Nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana 
KODI YA PANGO 
_________________
kwa mwezi ni laki mbili nanusu tuu/= (250,000)
  X6 
CALL #0625606710




















