Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA 200,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA (OPEN KITCHEN)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#IPO NDANI FENSI NA PARKING IPO
BEI NI 200,000/= X 6
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Dalali kimara suka Leonard
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni Sana wateja