Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


#0625606710
APARTMENT FOR RENT
🛣LOCATION
KIMARA KOROGWE
KM 1 TOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI WA BODA BUKU
💰BEI NI 350,000/= X6
SIFA ZAKE
VYUMBA 2 KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA
DINNING
INA JIKO KUBWA
INA CHOO CHA FAMILIA
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
FENSI NA PARKING NI KUBWA ZIPO 4 COMPOUND MOJA
MAZINGIRA SAFI NA SALAMA, WADAU TUKUTANE KWENYE TUKIO