Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTIMENT NZURI SANA ZINAPANGISHWA KILA MMOJA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJII YANAFLOW NDANI
NYUMBA IKO NDANI YA FENSI LAKINI AILAZI GARI
SIFA ZAKE..
CHUMBA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO
LOCATION:KIMARA KOROGWE
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD KM 2..USAFIRI BAJAJI 500..BODABODA 1000
BEI:LAKI 250K X MIEZI 6
SERVICE CHARGE TSH 15,000
#0625606710